Good standards are absolutely critical because of the needs we have for dissertationauthors.com/ improving the science of students across the country, eberle argues

THE FOUNDATION FOR RORYA EVOLVEMENT

TUUNGANE KUTOKOMEZA UMASIKINI KWAPAMOJA TUNAWEZA

NYanja tulizojikita

elimu

Tunaweka kipaombele sana katika kuufukuza na kuushinda kabisa UJINGA maana ndie adui wakwanza rafiki wa UMASKINI. Kwakuungana na watu wote duniani Tunaamini tutashinda vita Hii Kuu.

KILIMO

Kilimo kina maana pana inayojumuisha mifumo ya uzalishaji mimea, ufugaji wa wanyama, na uvuvi wa samaki. Hivyo Tunakitumia kama silaha ya kuushinda Umasikini

AFYA

Ili watu wafanye kazi za kiuzalishaji vyema wanatakiwa kuwa na Afya bora. Hivyo hii ni sekta kubwa sana katika kuweza kuondoa umasikini.

Close Menu